Saturday, November 14, 2009

A poem for you

It is my 5th month in Zanzibar and I have been enjoying it here with many activities to do like swimming, watching football at Mau grounds and today (14th Nov2009 - Old fort) Fiesta 2009. I am looking forward to see my favorite Bongo star artists Alikiba, Baby J, Wanaume TMK etc.

Do you always plan to do something creative or you are that person who can be inspired anytime to come up with a creative concept or anything, whichever still the goal is, you are inspired to do something.

There is this simple tool which is used in all walks of life, a pen and a paper (notebook, diary etc) which can save you a lot in managing internal and external work load, which I also call 'pressure' on the other hand it will help you track your daily to do list. Being a creative person make sure you have it with you all the time, you never know when a new idea might pop up.

To share my story one night I was resting in the sitting room and suddenly I felt a burning desire to compose or write a poem to someone special in my life, and the challenge was I to do it in Kiswahili. hmmmh! it was not that easy but I was determined to come up with one, here we go do not mind the spellings or if it doesn't meet some standard of some sort...

It is called TABASAMU = SMILE

TABASAMU

Ninapo kuona mimi utabasamu;
Ukitabasamu roho yangu utabasamu;
Kweli maisha si maisha bila tabasamu;

Ninaposikiliza wimbo wa tabasamu;
Mimi uomba niwe na wewe ndipo ni tabasamu;
Kweli maisha si maisha bila tabasamu;

Wengi watatamani kuwa nami lakini siwezi kutabasamu;
Bila wewe siwezi tabasamu, wewe ndiye tabasamu;
Kweli maisha si maisha bila tabasamu;

Tujichunge na mafataki wahongo waonjaribu kutabasamu;
Ila tuikuze misingi na minyororo ya tabasumu;
Kweli maisha si maisha bila tabasamu;

Msingi inayoleta maisha njema ndipo tuweze kutabsamu;
Minyororo inayotuunganisha maishani ndipo tutabasamu;
Kweli maisha si maisha bila tabasamu;

Wahenga walinena ndipo nipate kutabasamu;
Sinabudi kukubusu ndipo niweze kutabasamu;
Kweli maisha si maisha bila tabasamu;

Wengi wamejaribu kutabasamu;
Lakini hawawezi kama wewe kutabasamu;
Kweli maisha si maisha bila tabasamu;

Ninapokuwa mgonjwa wewe unipa tabasamu
Dawa la tabasamu lako unipa tabasamu;
Kweli maisha si maisha bila tabasamu;

Wengi walitembea dunia kote kutafuta tabasamu;
Nafurahia kuwa na wewe katika maisha ya tabasamu;
Kweli maisha si maisha bila tabasamu;

Mwandishi waroho yako ya maisha; Bwana Masaka

No comments:

Post a Comment