Thursday, February 26, 2015

Creative Morning - Promotion Flier


Creative Moment - flier design :) I enjoyed designing this advert in Kiswahili and English. Check it out, and if you are around Arusha, this a great deal to have a promotional video for your initiative done by KFI. https://lnkd.in/df8qq8w

Special offer for small & emerging organisation around Arusha. 

Services offered:-@OFFER TSH 500,000

- 3-5 minutes promotional video
- 30-60 seconds TV commercial / advert
- Public announcements videos

Call for further information; Mercy +255 752 352 048 / Office +255 684 845 343, Sam +255 786 087 685
 e-mail: mercy@kilimanjarofilm.org, sam@kilimanjarofilm.org

The cost is exclusive of transport costs.

---------------------------------------------------------------------------------------------------------------Usikose......

Ofa Maalum
Ofa katika msimu wa Pasaka

Hii ni maalumu kwa ajili ya mashirika mapya yanayoanza, makampuni na
mashule

Pata fursa ya kutengeneza:
Makala ya dakika 3-5 kwa ajili ya promosheni

Tangazo la sekunde 30-60 la kibiashara
Matangazo maalumu au taarifa kwa uma

Hii yote ni kwa gharama ya shilingi 500,000 tu.
(Gharama hii haijumuisha usafiri, na mahitaji maalumu)

Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia:
Mercy mwakilishi idara ya masoko: Simu + 255 752 352 048 au kwa barua
pepe: mercy@kilimanjarofilm.org

Ofisi KFI Arusha: Simu  +255 684 845 343 au +255 786 087 685,
Barua pepe: sam@kilimanjarofilm.org

OFA HII NI ITAENDELEA HADI TAREHE 30.APRIL.2015

No comments:

Post a Comment